Karibu Ajiramarket Kuunganisha Waombaji na Ajira
Ajiramarket inawaunganisha watafuta kazi moja kwa moja na nafasi za ajira zilizothibitishwa katika Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs), Sekta binafsi, na Mashirika mbalimbali.
Kuunganisha Waajiri na Wataalamu Bora
Waajiri na wakuu wa rasilimali watu (HR) wanatangaza nafasi za kazi, kuchambua CV za waombaji waliothibitishwa, na kufanya usaili wa moja kwa moja kupata wafanyakazi sahihi.
Jukwaa la Wastaafu na Washauri Waandamizi
Wastaafu na wataalamu waandamizi wananufaika kwa kuunganishwa na fursa za ujumbe wa bodi za wakurugenzi, mikataba ya ushauri wa kitaalamu (Consultancy), na ukufunzi kwenye taasisi kubwa.
Karibu Ajiramarket Kuunganisha Waombaji na Ajira
Ajiramarket inawaunganisha watafuta kazi moja kwa moja na nafasi za ajira zilizothibitishwa katika Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs), Sekta binafsi, na Mashirika mbalimbali.
Nafasi za Kazi Tanzania
SUPERMARKET BRANCH MANAGER
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED
HR AND ADMINISTRATION SUPERVISOR
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED
SALES OFFICER (SHELF KEEPER)
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED
PROCUREMENT REPRESENTATIVE
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED
MIONGOZO YA MAOMBI NA ZANA ZA AJIRA
Tazama sehemu zikifunguka kwa ulaini kama ukurasa wa kitabu, au bofya sehemu yoyote kutazama.
Wasifu
Kamilisha Wasifu, Fungua Milango ya Ajira
Jaza taarifa zote muhimu, pakia vyeti vyako halisi vya elimu na uthibitishe utambulisho ili waajiri wakuone mara moja.
Kitambulisho cha NIDA
Uthibitisho rasmi wa uraia
Vyeti vya Elimu
Pakia vyeti vyako halisi
Wasifu & CV ya Kisasa
Muundo thabiti wa kiweledi
Ujuzi na Fani
Orodhesha weledi wako
Beji ya Uthibitisho
Pendekezwa kwanza kwa waajiri
Arifa za Papo Hapo
Taarifa za mialiko ya usaili
Maombi
Tafuta Nafasi Zilizothibitishwa na Utume Maombi
Gundua nafasi za kazi kwenye makampuni, mashirika na taasisi za kuaminika. Soma vigezo na utume maombi yako kwa bofya moja.
Chuja kwa Sekta
Sekta 14+ za ajira nchini
Soma Vigezo
Majukumu na sifa za kazi
Tuma kwa Bofya 1
Maombi ya moja kwa moja
Mikoa Yote nchini
Ajira Dar, Dodoma na kote
Hakuna Madalali
Mawasiliano rasmi na waajiri
Fuatilia Maombi
Ona hatua kwa hatua
YouTube
Tazama Miongozo ya Video Moja kwa Moja
Video hii inahuishwa moja kwa moja kutoka kwenye chaneli yetu ya YouTube kila video mpya inapowekwa.
Mwongozo wa Usajili
Kujaza fomu ya wasifu kwa usahihi
Kuandaa CV na Nyaraka
Mbinu za kuwasilisha vyeti vyako
Kujiandaa na Usaili
Vidokezo vya kufaulu mahojiano
Kazi
Zana za Kisasa za Kazi na Fursa za Wastaafu
Imarisha weledi wako kwa chumba cha usaili wa video, zana za wasifu na fursa maalum za ushauri kwa wastaafu wazoefu.
CV Builder
Tengeneza wasifu wa kiwango
Usaili Mtandaoni
Mahojiano bila kusafiri
Hub ya Wastaafu
Fursa za ushauri na bodi
Kocha wa Ajira
Mbinu na vidokezo vya kazi
Uthibitisho wa Weledi
Beji ya heshima kwa wataalamu
Arifa za Moja kwa Moja
Taarifa za mialiko ya kazi
WASHIRIKA WETU
Washirika wa kimkakati walioasisi na kuwezesha miundombinu ya kiteknolojia na utaalamu wa rasilimali watu ya Ajira Market.
WATEJA WETU
Mashirika, taasisi na makampuni yanayoamini na kutumia mfumo wa Ajira Market kuajiri na kusimamia wataalamu.
Wanachosema Watumiaji Wetu
Kutoka kwa watafuta kazi wanaopata fursa zao za kwanza hadi waajiri wanaopata wataalamu bora.
Kupitia mfumo wa Ajira Market, nilifanikiwa kuwasilisha vyeti vyangu na kuomba nafasi ya Uhasibu bila kupitia madalali au usumbufu. Urahisi wa kujua kama maombi yamepokelewa na kuitwa kwenye usaili wa moja kwa moja ndani ya wiki moja umenisaidia kupata ajira yangu ya kwanza ya ndoto.
Daudi
Afisa Mhasibu | Muombaji Aliyethibitishwa
Kama afisa rasilimali watu, changamoto kubwa imekuwa kupokea CV zisizo na uhalisia. Ajira Market imebadilisha kabisa utaratibu wetu wa kuajiri; wagombea wote wanathibitishwa, zana za uchujaji ziko sahihi, na tumeweza kuwapata wataalamu bora kwa muda mfupi sana.
Peter Joseph
Meneja wa Rasilimali Watu | Mwajiri Aliyethibitishwa
Nilivutiwa sana na jinsi jukwaa hili lilivyo salama na lenye weledi wa hali ya juu. Ujumbe wa papo hapo wa SMS na mfumo wa usaili wa video uliniruhusu kufanya usaili nikiwa mkoani bila gharama za kusafiri. Hakika Ajira Market ni daraja la kweli kwa wataalamu.
Ikunda Kisamo
Mtaalamu wa Uendeshaji | Aliyepata Kazi
Nafasi ya Kazi
Taasisi / Shirika la Mwajiri